Skip to main content

Posts

Showing posts from May 9, 2015

EXCLUSIVE AUDIO| THE RETURN OF OF OHZY TAYARI USHAJUA| MARIKAHE FEAT KING PHEEZLE| Download it here

Baada ya kimya cha mda mrefu msanii wa mtindo wa HIP HOP aliyetambulika kama OHZY amerudi tena  mara hii amekuja na mtindo tofauti wakihindi hivi akiwa amemshirikisha KING PHEEZLE. Msanii huyu alikuwa yuko chini ya studio za THURNDERSOUND chini ya MORBIZ produza lakini hii nyimbo amefainyia maeneo ya Tanzania katika studio za MANDUGU DIGITAL na kukuletea  MARIKAHE ambapo alisema jina hilo linamaana ya HUSTLING ( KUTAFUTA ). . DOWNLOAD Download hapa....