Skip to main content

Posts

Showing posts from December 3, 2014

SLEEM G OUTTA LIMITS AUPIGA MZIKI TEKE NA KUINGILIA KILIMO RASMI...soma madai yake hapa

Msanii kutoka hapa mkoani Pwani aliyekuwa anatamba na vibao vya kuwapa watu motisha adai kuuacha mziki na kuingilia kilimo kuongeza kipato chake cha maisha. Sleem G Outta Limiits anadaiwa kuwa haina haja kufanya mziki mzuri na kutoa video za bei ghali lakini mwisho wa siku hakuna kitu unacho pata katika mziki ule ndipo pale akaamua kwenda Makindu ili kufanya ukulima na inasemekana kuwa yeye ndiye mdosi katika ukulima huo lakini kwa sasa mziki ameueka kando kidogo nakuangalia maswala ya ukulima na dipo mambo yakiwa mazuri atarudi zaidi kwenye mziki na kivyengine zaidi. Msanii huyu alipotoa kibao chake cha kumsifia MAMA kilicho tamba sana katika vituo vya Televisheni mbali mbali humu nchini,kuna maswala yalijitokeza kuwa alimtapeli mwanadada fulani aliyeko GERMANY na madai hayo ndio yanaesemekana kumuangusha msanii huyo katika TASNIA yake ya mziki na kuingilia kilimo. Mbinu zetu zilifua dafu pale tulipompigia msanii huyo na kukosa kushika simu zetu. Pata kuitazama video yak