Skip to main content

SLEEM G OUTTA LIMITS AUPIGA MZIKI TEKE NA KUINGILIA KILIMO RASMI...soma madai yake hapa



Msanii kutoka hapa mkoani Pwani aliyekuwa anatamba na vibao vya kuwapa watu motisha adai kuuacha mziki na kuingilia kilimo kuongeza kipato chake cha maisha.


Sleem G Outta Limiits anadaiwa kuwa haina haja kufanya mziki mzuri na kutoa video za bei ghali lakini mwisho wa siku hakuna kitu unacho pata katika mziki ule ndipo pale akaamua kwenda Makindu ili kufanya ukulima na inasemekana kuwa yeye ndiye mdosi katika ukulima huo lakini kwa sasa mziki ameueka kando kidogo nakuangalia maswala ya ukulima na dipo mambo yakiwa mazuri atarudi zaidi kwenye mziki na kivyengine zaidi.


Msanii huyu alipotoa kibao chake cha kumsifia MAMA kilicho tamba sana katika vituo vya Televisheni mbali mbali humu nchini,kuna maswala yalijitokeza kuwa alimtapeli mwanadada fulani aliyeko GERMANY na madai hayo ndio yanaesemekana kumuangusha msanii huyo katika TASNIA yake ya mziki na kuingilia kilimo.

Mbinu zetu zilifua dafu pale tulipompigia msanii huyo na kukosa kushika simu zetu.

Pata kuitazama video yake ya MAMA hapa..

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..