Skip to main content

Posts

Showing posts from September 15, 2015

EXCLUSIVE AUDIO| HAKI- MWAKA WANGU| LISTEN AND DOWNLOAD HERE...

Huu hapa ni wimbo mpya wa msanii mwenye sauti ya mvuto anayekwenda kwa jina la HAKI ,kumbuka pia HAKI ni mmoja ya wasanii kutoka kwa kundi liiitwalo W ALETANO CLASSIC na ndio kiongozi katika kundi hilo. Hii ni single yake mpya inajulikana kama MWAKA WANGU ambaye imeketiwa chini na vichwa viwili apa namzungumzia P-LION na COLINSAKA kutoka CM PRODUCTION.