Skip to main content

Posts

Showing posts from September 19, 2016

BENSO AWAPA MAKAVU LIVE WOTE WANAORUDISHA MZIKI NYUMA PAMOJA NA WANAOFAAKULIPA WASANII KAMA VILE "MCSK" NILIPE...Tizama hapa

Tukitupilia mbali kuwa msanii BENSO kutoka hapa Kenya ni mmoja ya wanabiashara wazuri yeye pia yuko katika sekta ya mziki kitengo cha Rapper. Kumbuka rapper huyu alikuletea ngoma kama PHONTHO ,DANCE NA SHIRO na zengine nyingi zilizopokelewa vizuri tu ila baada ya hapo msanii huyu alipiga Kimya cha mtu mzima na mashabiki wa muziki wake kujua kuwa ameachana na muziki na kuingilia biashara zake. La!! Benso amerudi tena kwakishindo tena kwakuwachana washikadau wote wa muziki wanaolivuta dau nyuma wasanii wakijitahidi kupika hatua moja au mbili,Round hii ni moto kwani Benso amerudi hadi studio za NUMBER ONE REC chini ya TK2 na kugonga nyimba inayokwenda kwajina NILIPE,nyimbo hii inadunga sana PRESENTERS,DJ's pamoja na shirika kubwa la mziki hapa nchini linalojulikana kama " MCSK"  na kudai kwamba wasanii wanajikamua kufanya mziki na sio mziki tu ila mziki mzuri ila bado hawapati malipo kutoka kwashirika hilo pamoja kupata tuzo. Video ya Ngoma hio imeketiwa chini