Skip to main content

BENSO AWAPA MAKAVU LIVE WOTE WANAORUDISHA MZIKI NYUMA PAMOJA NA WANAOFAAKULIPA WASANII KAMA VILE "MCSK" NILIPE...Tizama hapa

Tukitupilia mbali kuwa msanii BENSO kutoka hapa Kenya ni mmoja ya wanabiashara wazuri yeye pia yuko katika sekta ya mziki kitengo cha Rapper.
Kumbuka rapper huyu alikuletea ngoma kama PHONTHO ,DANCE NA SHIRO na zengine nyingi zilizopokelewa vizuri tu ila baada ya hapo msanii huyu alipiga Kimya cha mtu mzima na mashabiki wa muziki wake kujua kuwa ameachana na muziki na kuingilia biashara zake.

La!! Benso amerudi tena kwakishindo tena kwakuwachana washikadau wote wa muziki wanaolivuta dau nyuma wasanii wakijitahidi kupika hatua moja au mbili,Round hii ni moto kwani Benso amerudi hadi studio za NUMBER ONE REC chini ya TK2 na kugonga nyimba inayokwenda kwajina NILIPE,nyimbo hii inadunga sana PRESENTERS,DJ's pamoja na shirika kubwa la mziki hapa nchini linalojulikana kama "MCSK" na kudai kwamba wasanii wanajikamua kufanya mziki na sio mziki tu ila mziki mzuri ila bado hawapati malipo kutoka kwashirika hilo pamoja kupata tuzo.

Video ya Ngoma hio imeketiwa chini na director anayeijua kazi yake anaykwenda kwajina PETERZ na nyimbo yenyewe imeweza kuketiwa chini na vichwa viwili kutoka NUMBER ONE RECORDS ambaye ni TK2 na BEATZBOY.

Pata kuitazama nyimbo hio inayokwenda kwajina NILIPE

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..