Skip to main content

Posts

Showing posts from August 26, 2015

PUBLIC DEMAND: EXCLUSIVE AUDIO| TULIZA NYAVU REMIX FEAT SUSUMILA,KAA LA MOTO,VIVONCE AND KING KAKA|DOWNLOAD IT HERE...

Huku bado ikiwa ngoma halisi inafanya vizuri katika vituo vyote vya radio humu nchini msanii kutoka hapa Kenya SUSUMILA ameamua kurudio nyimbo yake ya TULIZA NYAVU REMIX akiwa amemshirikisha msanii tajika kutoka humu nchini sio mwengine ila ni KING KAKA ama ukipenda KAKA SUNGURA mmiliki wa KAKA EMPIRE vile vile katika nyimbo hio pia kuna mkali wamichano anayekwenda kwa jina la KAA LA MOTO pamoja na mrembo VIVONCE .  Pata ku-download ngoma hio hapa chini

EXCLUSIVE BEHIND THE SCENE| HIZI NI PICHA ZA NYUMA YA PAZIA ZA UANDAAJI WA VIDEO YA 'DANCE NA SHIRO" YA MSANII BENSO...|TIZAMA PICHA ZA TUKIO ZIMA HAPA.

Msanii BENSO ni mmoja wa wasanii wanaojituma zaidi kimziki ilkuahakikisha hadhi yao kisanii iko juu na inakubadilika, BENSO alikuleteangoma yke iliokua inajulikana kama IMEREMENDE iliofanya vizuri katika soko la humu nchini. Amerudi tena na majembe mapya kabisa ambapo ivi karibuni utakua unatizama video yake inayojulikana kama NATAKA KUDANCE NA SHIRO ,katika pitepite zetu katika mitandao tuliweza kunasa baadhi ya picha za nyuma ya pazia za video hio ambayo bado iko chini ya ukarabati. Katika vido hio tumeweza kushuhudia sura zilizojaa mafuta yaani zinazometameta na kung'a za warembo ambao kwa mara ya kwanza ndio utawaona katika kioo chako Hizi ndizo baadhi ya picha utakazo kumbana nazo katika video ya DANCE NA SHIRO  

KAA LA MOTO ACHUKUA JUKUMU LA KUIJIBU BARUA ILIOANDIKWA NA SUDI AKIWA NA JAGUAR|TIZAMA KIPANDE HICHO CHA VIDEO HAPA..

Katika pitepite zetu katika mitandao leo tumekumbana na kipande hiki cha video katika Youtube. Msanii wa Hip Hop kutoka hapa Kenya ameamua kuijibu nyimbo iliokua inamuelekea rais wa Kenya Bwana Uhuru Kenya. Katika kipande hicho cha video msanii huyo ameweza ku-freestyle akijibu BARUA hio ambapo ni wimbo ulioimbwa na wasanii wawili kutoka Kenya ambae ni SUDI akiwa na JAGUAR hit maker wa HUU MWAKA . Tizama video hio ya Kaa La Moto akijibu barua hio hapa chini.

NEW VIDEO ALERT| BAWAZIR BEYBY-SUBIRA| WATCH IT HERE..

BAWAZIR BEYBY  ni msanii anayekuja kwa kasi katika tasnia hii ya muziki wa Mombasani ambapo wimbo wake wa kwanza ulijulikana kama NATAMANI. Hii hapa ni video yake yapili iliongozwa na Director HAMZA OMAR kutokea ONE MONTAGE. Pata kuitizama hapa..

NEW VIDEO ALERT| OCTOPIZZO-THIS COUL BE US OFFICIAL| WATCH IT HERE..

THS COULD BE US OFFICIA L is the new jam from the finest hip hop artist from Kenya OCTOPIZZO. Watch it here.

NEW AUDIO| SERAH SARAH FEAT DAZLAH-CHEZA KIDOGO