Skip to main content

PUBLIC DEMAND: EXCLUSIVE AUDIO| TULIZA NYAVU REMIX FEAT SUSUMILA,KAA LA MOTO,VIVONCE AND KING KAKA|DOWNLOAD IT HERE...

Huku bado ikiwa ngoma halisi inafanya vizuri katika vituo vyote vya radio humu nchini msanii kutoka hapa Kenya SUSUMILA ameamua kurudio nyimbo yake ya TULIZA NYAVU REMIX akiwa amemshirikisha msanii tajika kutoka humu nchini sio mwengine ila ni KING KAKA ama ukipenda KAKA SUNGURA mmiliki wa KAKA EMPIRE vile vile katika nyimbo hio pia kuna mkali wamichano anayekwenda kwa jina la KAA LA MOTO pamoja na mrembo VIVONCE .




 Pata ku-download ngoma hio hapa chini







Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..