Skip to main content

Posts

Showing posts from February 9, 2016

EXCLUSIVE STORY: PRODUZA TOTTI AINYAKUA NYIMBO "KASAGA" YA BROWN N MAUZO NA KUIFANYA YAKE...Soma hapa zaidi

Ni siku kadhaa tangu produza msanii TOTTI kuachia ngoma yake inayojulikana kama KASAGA na kupokelewa vizuri na mashabiki. Madai yameibuka ghafla kwamba nyimbo hio ilikua ni ya mmoja ya msanii wa Totti ambaye ni BROWN MAUZO CLASSIC. Madai hayo yaliibuka pale ambapo ile nyimbo iliposikika kwamba ndai yake kuna sauti ya Brown na shabiki mmoja aliweza kupiga simu nakuuliza kama hio nyimbo ni ya Totti ama ni ya Brown ikiwa inaachiliwa rasmi na presenter huyo hakuwa na jibu la kumpa shabiki huyo. Lakini cha kushangaza ni kwamba msanii mwenyewe BROWN MAUZO hajaongelea swala hilo la nyimbo yake kuibiwa,tumeweza kumtafuta Totti pamoja na Brown Mauzo lakini juhudi zetu zimegonga mwamba lakini pindi tutakapowasiliana nao utaweza kuwa wakwanza kupata taarifa izo. Nyimbo yenyewe ndio hii hapa kwa jina KASAGA... Ama bonyeza link hii...