Skip to main content

EXCLUSIVE STORY: PRODUZA TOTTI AINYAKUA NYIMBO "KASAGA" YA BROWN N MAUZO NA KUIFANYA YAKE...Soma hapa zaidi

Ni siku kadhaa tangu produza msanii TOTTI kuachia ngoma yake inayojulikana kama KASAGA na kupokelewa vizuri na mashabiki.

Madai yameibuka ghafla kwamba nyimbo hio ilikua ni ya mmoja ya msanii wa Totti ambaye ni BROWN MAUZO CLASSIC.


Madai hayo yaliibuka pale ambapo ile nyimbo iliposikika kwamba ndai yake kuna sauti ya Brown na shabiki mmoja aliweza kupiga simu nakuuliza kama hio nyimbo ni ya Totti ama ni ya Brown ikiwa inaachiliwa rasmi na presenter huyo hakuwa na jibu la kumpa shabiki huyo.

Lakini cha kushangaza ni kwamba msanii mwenyewe BROWN MAUZO hajaongelea swala hilo la nyimbo yake kuibiwa,tumeweza kumtafuta Totti pamoja na Brown Mauzo lakini juhudi zetu zimegonga mwamba lakini pindi tutakapowasiliana nao utaweza kuwa wakwanza kupata taarifa izo.

Nyimbo yenyewe ndio hii hapa kwa jina KASAGA...

Ama bonyeza link hii...

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE HII HAPA : MASAUTI KATABIRIWA KUWA "THE NEXT BIG THING" NDANI YA MWAKA 2019 JE UNAJUA NI NANI ALIYEMTABIRIA?..Soma hapa

Katika miaka yote mwaka wa 2018 unaonekana ndio mwaka ambao mkali wa masauti Shembwana Masauti ameweza kufanya kazi nyingi nzuri na za ghali sana. Mkali wa 'vocals' Masauti mwaka jana aliweza kudondosha ngoma kali takriban kama nne kwa mfululizo amabazo ziliweza sana na kwasasa kibao kinachotatiza anga kinaitwa KIBOKO ambacho kibao icho kinaendelea kufanya vizuri ndani Afrika Mashariki. Hapo jana Presenter mkubwa kutoka MileleFmJalang'o almaarufu kama Mzee Jalas Mwenyewe aliweza  kusema msanii huyu huu mwaka ndiye atakaye sumbua kulingana na usimamizi wake mzuri pamoja na kazi zake zinazoweza kupita kiwango. Hii Hapa ndio kazi yake MAsauti mpya inayokwenda kwajina KIBOKO

EXCLUSIVE: DOWNLOAD WIMBO MPYA WA TANZANITE ALIYO MUIMBIA LULU WA BONGO MOVIE

Pata kudownload na kuskiza hapa chini....

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.