Skip to main content

Posts

Showing posts from August 29, 2016

EXCLUSIVE STORY|||BAADA YA KUKUTANA NA PRODUZA MKUBWA WA NIGERIA "MASTAKRAFT" TOTTI AMGONGEA NGOMA HUYU JAMAA KUTOKA NIGERIA....

Akiwa ni mmoja ya produza mkongwe na mahiri kutoka hapa Kenya Produza TOTTI wiki mbili zilizopita aliweza kukutana na produza anayeongoza Afrika Magharibi anayekwenda kwajina la MASTAKRAFT . Kumbuka pia MASTAKRAFT ndiye aliyegonga hit ya AKOTHEE akiwa amshirikisha MR.FLAVOUR iliyojulikana kama GIVE IT TO ME ,produza huyo wa Nigeria aliweza kuweka wazi kwamba produza pekee anayeweza kumtatiza ni Produza TOTTI kutoka hapa nchini Kenya maana yuko vizuri sana katika kazi zake na yuko makini na anachokifa. Baada ya TOTTI kuachiwa mikoba na MastaKraft hii ndio kazi yakwanza Totti kuifanya ya msanii kutoka Nigeria anayekwenda kwajina JODI CLARKE. Kupitia mtandao wake Totti aliweza kumtambulisha msanii huyo kama msanii mpya akiwa ameweka video yake. Na hii ndio Video yake Pata kuitazama hapa imetengenezwa na PRODUZA TOTTI chini ya studio za KAY-G RECORDS .