Skip to main content

EXCLUSIVE STORY|||BAADA YA KUKUTANA NA PRODUZA MKUBWA WA NIGERIA "MASTAKRAFT" TOTTI AMGONGEA NGOMA HUYU JAMAA KUTOKA NIGERIA....

Akiwa ni mmoja ya produza mkongwe na mahiri kutoka hapa Kenya Produza TOTTI wiki mbili zilizopita aliweza kukutana na produza anayeongoza Afrika Magharibi anayekwenda kwajina la MASTAKRAFT.

Kumbuka pia MASTAKRAFT ndiye aliyegonga hit ya AKOTHEE akiwa amshirikisha MR.FLAVOUR iliyojulikana kama GIVE IT TO ME,produza huyo wa Nigeria aliweza kuweka wazi kwamba produza pekee anayeweza kumtatiza ni Produza TOTTI kutoka hapa nchini Kenya maana yuko vizuri sana katika kazi zake na yuko makini na anachokifa.

Baada ya TOTTI kuachiwa mikoba na MastaKraft hii ndio kazi yakwanza Totti kuifanya ya msanii kutoka Nigeria anayekwenda kwajina JODI CLARKE.

Kupitia mtandao wake Totti aliweza kumtambulisha msanii huyo kama msanii mpya akiwa ameweka video yake.



Na hii ndio Video yake Pata kuitazama hapa imetengenezwa na PRODUZA TOTTI chini ya studio za KAY-G RECORDS.


Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..