JE WAJUA KWAMBA SUSUMILA NDIO CHANZO CHA KELECHI AFRICANA KUKUTANA NA ATHMAN BABAZ C.E.O WA "KUBWA ENT"
Kiukweli wasanii wengi wadogo wakiingia katika mziki hujawakabadilika na kuwa watu wengine tofauti katika jamii na kusahau ata walio washika mkono na kuwafikisha mahali walipo. Katika pitepite zetu tuliweza kukutana na msanii anayekuja kwa kasi zaidi ndani tasnia ya mziki humu nchini anayejulikana kama Salim Hassan almaarufu kama KELECHI AFRICANA. Alitueleza kwamba yeye alianza mziki mwaka wa 2011 na alijiamini kuwa ubavu wakupigana kisauti anao na alitamani sana japo siku moja nyimbo zake ziate kuchezwa ata ndani ya kituo kimoja cha runinga lakini wakati huo alikua hanamdhamini na kiwango cha pesa kulipia video kilikua kinampiga chenga sana. Kelechi alielezea kwamba nyimbo yake ya kwanza aliweza kuirecord katika studio inayojulikana kama GHETTO RECORDS ambayo iko mitaa ya Likoni chini ya produza HAMMADOO na track hio aliipa jina la KUCHIKUCH I ambayo hio ndio iliomtambulisha kama Kelechi na ndio iinayomlea hadi leo. " KUCHIKUCHI ni track ambayo iliweza kunifany...