Skip to main content

EXCLUSIVE STORY|JE? WAJUA NI KWANINI VIDEO MPYA YA ALLY B "NZELE" HAIKO KATIKA MTANDAO WA YOUTUBE? PATAKUJA HAPA

Ni takribani wiki moja imepita tangu rais wa Ziki La Nazi ALLY B kuachia kichupa chake kipya kinacho julikana kama NZELE mashabiki wengi wa Youtube wameweza kuskiza ngoma hio lakini bado video hawajaita machoni.

Tarehe nane mwezi huu video hio ndio ilitoka lakini haikuweza kuekwa katika mtandao wa Youtube na mashabiki wamekua wakiiulizia kwasana.

Tukiongea na Director wa video hio ambaye ni mkongwe LIL GUY aliweza kutwambia kwamba video nyingi zimekua zikiekwa katika Youtube na katika Tv etu za humu nchini hazipatikani,tulimnukuu "Wasanii wengi ambao wakiachia video zao Youtube huwa hawajiamini na promo ya kwenye tv na ndio maana LIL GU G VIDEO PRODUCTION na ALLY B tunahakikisha Tv zote za humu nchini na nje zimeipata video hio na zinaicheza ndio tutaweza kuiweka video hio ndani ya Youtube kwahivyo sio ati tumewagawa mashabiki ila kwanza waitizame katika televisheni mwanzo na saa hii bado KTN na zengine" Alisema hayo.

Wiki hii video hio NZELE imeweza kuachiliwa kwa mara ya kwanza ndani ya channel tajika ya CITIZEN TV.



Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..