Skip to main content

Posts

Showing posts from March 30, 2016

NEW VIDEO ALERT| EDDY TICHA ADAI KWAMBA AMECHOKA KUSKIKA SAUTI,TAZAMA "ZAWADI" VIDEO YAKE MPYA

Baada ya kuwaporomoshea mashabiki zake nyimbo album mzima bila video hapo mwaka jana msanii aliyetimia vocals na uandishi EDDY TICHA amejitokeza katika kioo chako. Wimbo huu unakwenda kwa jina ZAWADI ambapo video imeweza kuandaliwa na LYNKE JR kutoka kampuni ya DA MUSIK LAB na audio yake kuketiwa chini na produza Morbiz (Sheriff) ndani ya studio za THURNDER SOUND. Pata kuitzama video hio hapa chini...