Skip to main content

Posts

Showing posts from February 5, 2016

EXCLUSIVE AUDIO|TOTTI-KASAGA| DOWNLOAD AND LISTEN IT HERE

Download and listen new song KASAGA from TOTTI and studio Kay-G Records.

PROMOTA SAIDI GANGWE AFUNGUKA KUHUSIANA NA AZMA YAKE YA KUGOMBEA UDIWANI...Soma zaidi hapa

Saidi Gangwe ni mmoja ya ma promota wakongwe kutoka Pwani ya Mombasa ambapo hivi majuzi aliweza kutangaza rasmi kwamba mwaka ujao 2017 atakua anagombea kiti cha Udiwani katika maeneo yake anayoishi Timbwani wodi/Likoni.   Gangwe amewahi ku-promote wasanii kutoka hapa Mombasa Kama Rudeboys,C-New,Fat-S na wengi kutoka hapa Mombasa na pia amewahi kuleta wasanii kutoka Tanzania kama vile Mr.Blue Juma Nature,Tmk hapa namzungumia (Temba,Chege pamoja na marehemu Yp). Gangwe aliweza kuiambia ThegreatMulley kwamba aliweza kutangaza azma yake ya kuwania kiti hicho cha udiwani aliweza kumuoana Saidi Fellla ameketia kiti kama hicho "Kiukweli mimi tangu kitambo nilitamani sana kuwa kiongozi kwasababu sipendi kuona wananchi wenzangu wakihaingaika na mimi Mungui akinijalia nikipata kiti hicho nitaweza kuhudumia wasanii na kuangalia vipaji sana maana hio ni moja ya sekta ambayo imeachwa nyuma sana hapa mkoani kwetu" tulimnukuu akiyasema hayokatika mkahawa mmoja hapa Mombasa. Vi