Saidi Gangwe ni mmoja ya ma promota wakongwe kutoka Pwani ya Mombasa ambapo hivi majuzi aliweza kutangaza rasmi kwamba mwaka ujao 2017 atakua anagombea kiti cha Udiwani katika maeneo yake anayoishi Timbwani wodi/Likoni.
Gangwe aliweza kuiambia ThegreatMulley kwamba aliweza kutangaza azma yake ya kuwania kiti hicho cha udiwani aliweza kumuoana Saidi Fellla ameketia kiti kama hicho "Kiukweli mimi tangu kitambo nilitamani sana kuwa kiongozi kwasababu sipendi kuona wananchi wenzangu wakihaingaika na mimi Mungui akinijalia nikipata kiti hicho nitaweza kuhudumia wasanii na kuangalia vipaji sana maana hio ni moja ya sekta ambayo imeachwa nyuma sana hapa mkoani kwetu" tulimnukuu akiyasema hayokatika mkahawa mmoja hapa Mombasa.
Gangwe amewahi ku-promote wasanii kutoka hapa Mombasa Kama Rudeboys,C-New,Fat-S na wengi kutoka hapa Mombasa na pia amewahi kuleta wasanii kutoka Tanzania kama vile Mr.Blue Juma Nature,Tmk hapa namzungumia (Temba,Chege pamoja na marehemu Yp).
Gangwe aliweza kuiambia ThegreatMulley kwamba aliweza kutangaza azma yake ya kuwania kiti hicho cha udiwani aliweza kumuoana Saidi Fellla ameketia kiti kama hicho "Kiukweli mimi tangu kitambo nilitamani sana kuwa kiongozi kwasababu sipendi kuona wananchi wenzangu wakihaingaika na mimi Mungui akinijalia nikipata kiti hicho nitaweza kuhudumia wasanii na kuangalia vipaji sana maana hio ni moja ya sekta ambayo imeachwa nyuma sana hapa mkoani kwetu" tulimnukuu akiyasema hayokatika mkahawa mmoja hapa Mombasa.
Vile vile muheshimiwa huyo mtarajiwa aliweza kuficha chama atakachokuwa anagombea nacho na kusema kwamba wakatika wa kutangaza chama bado haujafika.
Endelea kuzisoma taarifa za THEGREATMULLEY na utaweza kujua kila kitu kumuhusu Muhsehimiwa Saidi Gangwe.
Comments
Post a Comment