Skip to main content

Posts

Showing posts from July 4, 2016

MABIBI NA MABWANA HARMONIZE WA WCB AMEWALETEA VIDEO MPYA INAYOKWENDA KWA JINA "MATATIZO"

Baada ya kuwaletea BADO akiwa na boss wake DIAMOND PLATNUMZ amerudi tena katika kioo chako na nyimbo mya inayojulikana kama MATATIZO Video hio imeweza kuketiwa chini na Director kutoka humo humo nchini TANZANIA anayekwenda kwa jina PABLO ambae jina lake limeweza kuonekana sana katika video nyingi za kutoka MKUBWA NA WANAWE. Video ndio hii hapa itazame

EXCLUSIVE VIDEO| PATA KUTAZAMA VIDEO MPYA YA ALKENIA LUV INAYOKWENDA KWA JINA "NZO KUNO DEDE"

Hii hapa tuwezakukuekea hapa video ya mkali wa Vokol anayejulikana kama ALKENIA LUV kumbuka msanii huyu inasemekana aliweza kupitia darasa la THT kwamanake TANZANIA HOUSE of TALENT ilikoko nchini TANZANIA ilikujifua zaidi kisauti. Vido hio iko chini ya uongozi wa RICKY BECKKO chini ya kampuni yake inayajulikana kama BIG DREAMS. Pata kuitazama kwa kubonyeza hapa.

EXCLUSIVE AUDIO| LADY JAYDEE-SAWA NA WAO| IPATE KWA KUIDOWNLOAD HAPA.

Baada ya NDINDINDI comando Jide almaarufu kama Lady Jaydee amekuletea hii hapa nyengine inayokwenda kwa jina SAWA NA WAO. Kumbuka hii ni baada ya kutangaza rasmi kwamba kila baada ya miezi mitatu atakua anadondosha ngoma mpya na hii ndio yakwanza inayofungua njia hio. Hii Hapa nyimbo hio pata kuidownload hapa.

EXCLUSIVE BEHIND THE SCENE| HIZI HAPA PICHA ZA NYUMA YA PAZIA ZA VIDEO MPYA YA WASOJALI BAND..

Kama tunavyowajua WASOJALI BAND na hii ndio Band iliokuja kwa kasi zaidi na kukita mizizi na kukomaa zaidi ndani ya Kenya ya Mombasa kila kukicha wako mbioni kuhakikisha kwamba wewe kipenzi cha nyimbo zao na kipenzi chao yaani shabiki wao wanakuburudisha kwa viseo pamoja na Audio. Wiki iliopita WASOJALI BAND walikua katika location wakiandaa video yao mpya ambapo waliweza kuenda na Band yao nzima ilikukuletea wewe shabiki yao kazi nzuri,Vijana haoWalikua wanaongozwa na manager wao ATHMAN BABA pamoja na  Director kutoka jijini Nairobi ambae pia tunaweza kusema ndio Director wa Video zao zote maana tangu waanze mziki huyo ndio amekua Director wao ambae sio mwengine ila ni RICKY BECKKO wa BIG DREAMS . Na hizi ndio picha za Behind the scene tulizozinasa wakiwa katika Location wiki jana.