Skip to main content

EXCLUSIVE BEHIND THE SCENE| HIZI HAPA PICHA ZA NYUMA YA PAZIA ZA VIDEO MPYA YA WASOJALI BAND..

Kama tunavyowajua WASOJALI BAND na hii ndio Band iliokuja kwa kasi zaidi na kukita mizizi na kukomaa zaidi ndani ya Kenya ya Mombasa kila kukicha wako mbioni kuhakikisha kwamba wewe kipenzi cha nyimbo zao na kipenzi chao yaani shabiki wao wanakuburudisha kwa viseo pamoja na Audio.

Wiki iliopita WASOJALI BAND walikua katika location wakiandaa video yao mpya ambapo waliweza kuenda na Band yao nzima ilikukuletea wewe shabiki yao kazi nzuri,Vijana haoWalikua wanaongozwa na manager wao ATHMAN BABA pamoja na  Director kutoka jijini Nairobi ambae pia tunaweza kusema ndio Director wa Video zao zote maana tangu waanze mziki huyo ndio amekua Director wao ambae sio mwengine ila ni RICKY BECKKO wa BIG DREAMS.

Na hizi ndio picha za Behind the scene tulizozinasa wakiwa katika Location wiki jana.




















Comments

  1. picha zina ongea, (pictures speak thousand words)

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..