Skip to main content

Posts

Showing posts from April 24, 2016

KILE KICHUPA ULIKUA UNAKINGOJEA NDIO HICHI HAPA| MAFIKIZOLO FEAT DIAMOND PLATNUMZ-COLORS OF AFRIKA...

Hatimaye unaweza kuangalia video ya wimbo wa Mafikizolo waliomshirikisha Diamond na Dj Maphorisa ‘Colors of Africa.’  Pata kuitazama hapa...

BREAKING NEWS: MWANAMUZIKI MASHUHURI NA MKONGWE WA JAMHURI YA KONGO "PAPA WEMBA AFARIKI DUNIA

Mwanamuzikim mkongwe kutoka jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo afariki dunia mapema leo hii. Kifo chake kimempata akiwa jukwaani hii ni baada ya kuugua ugonjwa wa moyo na kuweza kuanguka juu ya jukwaani Abidjan/Ivory Coast wakati akitumbwiza tamasha la muziki la Anoumabo (FEMUA) Muimbaji huyo amefariki akiwa na umri wa miaka 66. Redio ya Kongo, Radio Okapi imetangaza taarifa za kifo chake. Hizi ndio baadhi ya picha zake akiwa jukwaani.