Skip to main content

BREAKING NEWS: MWANAMUZIKI MASHUHURI NA MKONGWE WA JAMHURI YA KONGO "PAPA WEMBA AFARIKI DUNIA

Mwanamuzikim mkongwe kutoka jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo afariki dunia mapema leo hii.

Kifo chake kimempata akiwa jukwaani hii ni baada ya kuugua ugonjwa wa moyo na kuweza kuanguka juu ya jukwaani Abidjan/Ivory Coast wakati akitumbwiza tamasha la muziki la Anoumabo (FEMUA)


Muimbaji huyo amefariki akiwa na umri wa miaka 66.
Redio ya Kongo, Radio Okapi imetangaza taarifa za kifo chake.

Hizi ndio baadhi ya picha zake akiwa jukwaani.





Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..