Hapa mkoani pwani kulingana na vituo tofauti vya radio na mitandao tofauti hizi ndizo nyimbo inazochafua anga ya mkoa huu ukuzikiwa na wingi wa mashabiki. Ndizo hizi hapa chini 10-ohmz law montana ft simple boy-poleni 09-Lypso ft churchil n various artistl-mdogo mdogo remix 08- sudi boy ft amelina-n aona bado 07-sleem g-mama 06-miss gg ft benso-l do 05-shelphad-mdogo mdogo 04-Dogo richie-Hayana mjuzi 03-dazlah-bangereba 02-amourybeiby ft nyota-baridi 01-jovial-chanda chema