Skip to main content

Posts

Showing posts from May 31, 2017

EXCLUSIVE STORY|||MSANII WA HIP HOP AEKWA CHINI NA MAJAMBAZI WALIOJIHAMI NA MITUTU YA BUNDUKI NA KUPORWA KILA KITU ALICHOKUA NACHO...

Msanii kutoka jimbo la Mombasa anayetamba na kibao chake kwasasa kinachokwenda kwajina kama HAPA KATI auona usiku mrefu. HARRY GENIUS ambaye studio zake ni pale THURNDERSOUND chini ya SHERIFF / MORBIZ , habari tulizozipata inasemekana kwamba msanii huyo alikua anatoka katika miangaiko yake ya kawaida ambako ilikua mida ya saa tano usiku alikua juu ya boda na waliweza kusimamishwa uku wameshikiwa mitutu ya bunduki na watu wasio julikana takriban watu watano ambapo wawili walikua wanamiliki bunduki. Kupitia njia ya simu tuliowasiliana naye aliweza kuielezea THEGREATMULLEYMEDIA kwamba aliweza kuketishwa chini pamoja na huyo dereva wa pikipiki na kusombwa kila kitu ikiwemo Pesa zake ambazo alikua ashamaliza biashara yake nasimu yake pamoja na viatu alivyokuwa amevaa na saa yake ya dhahabu " Ilikua nimetoka kazini kwangu naenda kujituyliza nyumbani masaa ya saa tano usiku maeneo ya likoni msikiti SWABIRINA ndipo nilipokutana na hao majambazi na wakanieka chini pamoja