Skip to main content

EXCLUSIVE STORY|||MSANII WA HIP HOP AEKWA CHINI NA MAJAMBAZI WALIOJIHAMI NA MITUTU YA BUNDUKI NA KUPORWA KILA KITU ALICHOKUA NACHO...

Msanii kutoka jimbo la Mombasa anayetamba na kibao chake kwasasa kinachokwenda kwajina kama HAPA KATI auona usiku mrefu.
HARRY GENIUS ambaye studio zake ni pale THURNDERSOUND chini ya SHERIFF/MORBIZ, habari tulizozipata inasemekana kwamba msanii huyo alikua anatoka katika miangaiko yake ya kawaida ambako ilikua mida ya saa tano usiku alikua juu ya boda na waliweza kusimamishwa uku wameshikiwa mitutu ya bunduki na watu wasio julikana takriban watu watano ambapo wawili walikua wanamiliki bunduki.


Kupitia njia ya simu tuliowasiliana naye aliweza kuielezea THEGREATMULLEYMEDIA kwamba aliweza kuketishwa chini pamoja na huyo dereva wa pikipiki na kusombwa kila kitu ikiwemo Pesa zake ambazo alikua ashamaliza biashara yake nasimu yake pamoja na viatu alivyokuwa amevaa na saa yake ya dhahabu "Ilikua nimetoka kazini kwangu naenda kujituyliza nyumbani masaa ya saa tano usiku maeneo ya likoni msikiti SWABIRINA ndipo nilipokutana na hao majambazi na wakanieka chini pamoja na yule jamaa wa pikipiki aliyekuwa amenibeba,majambazi hao wawili walikua wanamiliki bunduki wengine walikua na mapanga" alisema hayo msanii Genius  kwasasa anauguza majeraha maana walimpiga kiasi na marundu.

Hii Hapa ndio Video yake mpya inayokwenda kwajina HAPA KATI

Comments

  1. Duuuuuh izaaa mwanagu Upoeee harakaa sanaa

    ReplyDelete
  2. Duuuuuh izaaa mwanagu Upoeee harakaa sanaa

    ReplyDelete
  3. Duuuuuh izaaa mwanagu Upoeee harakaa sanaa

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..