Skip to main content

Posts

Showing posts from July 28, 2016

EXCLUSIVE NEW AUDIO| J-MADIBA-AKUNA MATATA| HII NI MPYA SKIZA NA UIPAKUE HAPA..

J-Madiba ni mmoja ya wasanii wanaofanya vizuri kimuziki na walio shiba vokols,alikuletea moja ivi iliosumbua sana katika radio zetu iliojulkana kama SMILE. Madiba amerudi tena na moja inayokwenda kwa jina AKUNA MATAT A,nyimbo hii imetoka katika studio za JUNGLE MASTER mkono ukiwa ni wa produza EMMY DEE. Ipakue hapa....

EXCLUSIVE STORY| WYNAS ADAIKWAMBA KUTOWEKWA KWENYE AWARDS HAKUWEZI KUFANYA NDOTO ZAKE ZIDIDIMIE BALI KUMEMPA CHANGA MOTO KUBWA YAKUFANYA KAZI NZURI ZAIDI.....Soma Hapa

Kila mmoja akiskia jina WYNAS sio geni katika maskio yake kama hajamskia katika radio basi atakua keshamuona katika runinga ama kumuona katika mtandao ivo basi sio mgeni kwetu. WYNAS ni mmoja ya wasanii wazuri sana kisauti na katika kushika mike na mashairi yake ni mashairi mazuri na yaliokwenda shule,chakushangaza ni kwamba msanii huyu katika mziki mpaka saa hii anamwaka wa WANNE na hajawahi kuteuliwa katika tuzo (AWARDS ) amakinyang'anyiro chochote yaani kama vile ametengwa. MApema leo hii hit maker huyu wa KITORIRO na SARE SARE aliweza kufunguka yamoyonintukizingatia ni kwamba kuna TUZO ambazo kwasasa za MOMBASA AWARDS2016 zinaendelea na msanii huyu ni mmoja ya wale ambao hawakuteuliwa katika kitengo chochote, Wynas alisema kwamba yeye kutoteuliza katika tuzo hizo hazijamfanye afae maji na aache mziki kwani ni tuzo nyingi zimefanyika na yeye ameekwa nje kwahivyo haijamtishia hata kidogo na pia imempa nguvu ya kufanya kazi zaidi kwani inaonekana kuna kitu bado hajat

EXCLUSIVE STORY| AMOURY BEYBY ASEMA KWAMBA SAA HII AWACHII NYIMBO MOJA TENA MWAKA MZIMA NA KUDAI KUWA HATOLAZA DAMU TENA KATIKA MUZIKI...Soma hapa zaidi

Ikiwa kila msanii katika mziki wake kuna vile anapanga nyimbo zake pamoja na utoaji wa nyimbo zake wengine ni baada ya mwezi mmoja wengine baada ya wiki wengine miezi mitatu lakini kwa msanii AMOURY BEYBY ama ukipenda ARTIST001 ni tofauti yeye huachia nyimbo moja mwaka mzima yaani kila mwaka wimbo mmoja. Katika pitepite zetu THEGREATMULLEYMEDIA tuliweza kukutana na ARTIST001 na kutoa kikohozi kilichokua kinamnyonga,tukijua kwamba kwasasa ameachia nyimbo yake ambayo inasumbua katika radio AMOURY alidai kwamba saa hii mashabiki zake hawatongojea tena mwaka mzima ndio wamsikie katika radio La! kila baada ya miezi mitatu atakua anadondosha nyimbo mpya pamoja na video yake. " KIUKWELI NIMEKUA NIKIACHIA NGOMA ZANGU KILA NGOMA MWAKA MMOJA LAKINI KWASASA TEAM001 HAWATONGOJEA TENA MUDA HUO MREFU SAA HII KILA BAADA YA MIEZI MITATU NITAKUWA NAWAANGUSHIA NYIMBO NA KICHUPA CHAKE " Alisema Amoury. Aliongezea kusema kwamba kilichokua kinamueka chini na kufanya ngoma moj