J-Madiba ni mmoja ya wasanii wanaofanya vizuri kimuziki na walio shiba vokols,alikuletea moja ivi iliosumbua sana katika radio zetu iliojulkana kama SMILE.
Madiba amerudi tena na moja inayokwenda kwa jina AKUNA MATATA,nyimbo hii imetoka katika studio za JUNGLE MASTER mkono ukiwa ni wa produza EMMY DEE.
Ipakue hapa....
Ipakue hapa....
Comments
Post a Comment