JOH MAKINI ni mmoja wa marapper wakali kutoka Afrika Mashariki kutoka kundi la WEUSI ambaye kwa miezi kadhaa amekua akifanya hit baada ya hit. Hit maker huyo wa NUSUNUSU ameongea na wasanii wenzake kupitia kichupa kipya kinachojulikana kama DON'T BOTHER alicho mpa shavu msanii kutoka South Africa anayejulikana kama A.K.A Katika video hio ama nyimbo hio kuna mistari ambayo ametema ambayo inakua kama diss kwa wasanii wenzake wanaotoa mrundo wa video na audio alafu mwisho wa siku haziendi mahali katika nyimbo hio tukimnukuu amesema " NASKIA KUNA TUZO MPO KWENYE LIST,NASKIA MNABEBWA KWENYE MA-PLAYLIST,NASKIA MNAUNDUGU NA HAWA MA-JOURNALIST,NASKIA MNATOA NYIMBO NYINGI ME NATOA TU HIT " hio ndio mistari iliokatika ngoma yake ya DON'T BOTHER hii inahashiria ni kwamba ameona wasanii wengi wamkua wakitoa nyimbo nyingi lakini mwisho wa siku zina buma na haziendi popte wala hazifiki popote. Hii ndio video ya nyimbo yake aliomshirikisha A.K.A wa AFRIKA KUSINI... ...