Skip to main content

JOH MAKINI AZUNGUMZIA SWALA LA WASANII KUTOA MRUNDO WA NYIMBO NA HAZIFIKI MAHALI NA YEYE KUTOA.......Soma hapa zaidi.

JOH MAKINI ni mmoja wa marapper wakali kutoka Afrika Mashariki kutoka kundi la WEUSI ambaye kwa miezi kadhaa amekua akifanya hit baada ya hit.

Hit maker huyo wa NUSUNUSU ameongea na wasanii wenzake kupitia kichupa kipya kinachojulikana kama DON'T BOTHER alicho mpa shavu msanii kutoka South Africa anayejulikana kama A.K.A

Katika video hio ama nyimbo hio kuna mistari ambayo ametema ambayo inakua kama diss kwa wasanii wenzake wanaotoa mrundo wa video na audio alafu mwisho wa siku haziendi mahali katika nyimbo hio tukimnukuu amesema "NASKIA KUNA TUZO MPO KWENYE LIST,NASKIA MNABEBWA KWENYE MA-PLAYLIST,NASKIA MNAUNDUGU NA HAWA MA-JOURNALIST,NASKIA MNATOA NYIMBO NYINGI ME NATOA TU HIT" hio ndio mistari iliokatika ngoma yake ya DON'T BOTHER hii inahashiria ni kwamba ameona wasanii wengi wamkua wakitoa nyimbo nyingi lakini mwisho wa siku zina buma na haziendi popte wala hazifiki popote.


Hii ndio video ya nyimbo yake aliomshirikisha A.K.A wa AFRIKA KUSINI...

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..