Skip to main content

Posts

Showing posts from July 29, 2015

MSANII EDDY TICHA AAMUA KUVUNJA UKIMYA WAKE NA HAYA NDIO MANENO YAKE....

Msanii kutoka hapa Mombasa kwa Jina EDDY TICHA aliweza kwenda chini ya maji zaidi na kwasasa ameamua kurudi tena kwa kishindo. Eddy Ticha ni msanii kutoka kundi la WATASH ambapo yeye ndio kwasasa anayeliweka juu kundi hilo baada ya wenzake kuenda chini ya maji na kufanya shughuli zengine mbali na mziki. Kabla kupiga kimya hicho msanii huyo alikua ameachia ujio wake ulijulikana kama MISS_ANGELA ambapo ulipata airplay nzuri zaidi katika vituo vya humu nchini, Thegreatmulley tuliweza kuongea na msanii huyo na kuaidi kwamba amekuja na njia nyengine tofauti na yuko tayari kupambana na mziki na kuachana na mambo mengine "Kwasasa nimeamua ni mziki tu na nimeachana shughuli zengine" Alisema Eddy Ticha,tuliweza kumuuliza kama amepata management "Hehehe hilo swala bado liko chini ya maji na hivi karibuni mafans wangu watajua tu" alijibu Msanii huyo wikendi hii atakua anaachi nyimbo yake inayojulikana kama MAPIGO_YA_MOYO akiweza kuiachia utakuwa wakwanza kuipa