Mapema wiki hii hit maker wa BARIDI pamoja na KITETE kupitia mtandao wake wa Facebook na Instagram aliweza kuandika kuwa na kuweka wazi kuwa yeye ndiye atakaye simamia video ya msanii anayekuja kwa kasi sana kutoka hapa mkoani Pwani anayejulikana kama Kigoto. Amoury aliweza kuandika haya katika mitandao yake " Kigoto Mmbonde ni kati ya wasanii ninao wakubali sana kimziki,,ni mtunzi hodari,,msanii mnyenyekevu..hana kiburi na majivuno.. mwenye bidii,,anafanya nyimbo zenye ubunifu wa hali ya juu na ujumbe wa kueleweka,,kutokua na sapot kwake kumenitia unyonge sana,,japo baadhi ya wasanii wamemtenga,na ameandika hits nyingi zilizofanya vyema,,kwani siko tayari kuona kipaji na mtunzi bora aje akate tamaa baadae,,ndio maana mimi binafsi kama #ARTIST_001 nitamsimamia VIDEO YA nyimbo yake mpya #napenda_vizuri iliotengenezwa na PRODUCER NA MANAGER WAKE Tk Mbili .. najua ni sapryz kwako mdogo wangu ila mikakati yote nimetayarisha tayary na DIRECTOR / PRODUCER na MANAGER W...