"KUNA WATU WALIKUWA WANAMTUMIA MSANII KIGOTO KUJINUFAISHA WENYEWE" AMOURY BEYBY AFUNGUNGU...Skiza Live hapa
Amoury aliweza kuandika haya katika mitandao yake "Kigoto Mmbonde ni kati ya wasanii ninao wakubali sana kimziki,,ni
mtunzi hodari,,msanii mnyenyekevu..hana kiburi na majivuno.. mwenye
bidii,,anafanya nyimbo zenye ubunifu wa hali ya juu na ujumbe wa
kueleweka,,kutokua na sapot kwake kumenitia unyonge sana,,japo baadhi ya
wasanii wamemtenga,na ameandika hits nyingi zilizofanya vyema,,kwani siko
tayari kuona kipaji na mtunzi bora aje akate tamaa baadae,,ndio maana mimi
binafsi kama ‪#‎ARTIST_001 nitamsimamia VIDEO YA nyimbo yake mpya ‪#‎napenda_vizuri
iliotengenezwa na PRODUCER NA MANAGER WAKE Tk Mbili .. najua ni sapryz kwako
mdogo wangu ila mikakati yote nimetayarisha tayary na DIRECTOR / PRODUCER na
MANAGER WANGU Guy G Vid Produzza,, ‪#‎HUU_MWAKA_WETU" .
Hapo jana kupitia PILIPILIFM ndani ya kipindi cha MWAKE MWAKE kinachoongozwa na DOUBLE C yaani CHIGULU na CHRISS msanii huyo aliweza kufunguka zaidi na kusema yake ya moyoni, Amoury aliweza kufunguka kuwa kuna wasanii walikuwa wanamtumia msanii huyo ili kujinufaisha wao wenyewe.
Pata kuskiza Maojiano hayo live hapa..
Comments
Post a Comment