Skip to main content

Posts

Showing posts from June 29, 2017

EXCLUSIVE NEW VIDEO|||| MABIBI NA MABWANA CHIKUZEE ANAWAALIKA KUITAZAMA VIDEO YAKE MPYA YA "KICHUNGU"...

Baada ya kimya cha muda best vocalist kutoka Kenya CHIKUZEE awadondoshea video yake mpya inayokwenda kwajina KICHUNGU . Baada ya kuachia SOMA msanii huyu aliweza kufunga safaru yake hadi Bongo Landa na kutimba katika studio za MAZUU RECORDS na kugonga audio chini ya usimamizi wa MANAGER wa Musa Babaz. Chikuzee aliweza kurudi Kenya nakupiga video na kampuni ya ONE MONTAGE chini ya director HAMZA OMAR . Pata kuitazama video yake mpya KICHUNGU