Skip to main content

EXCLUSIVE NEW VIDEO|||| MABIBI NA MABWANA CHIKUZEE ANAWAALIKA KUITAZAMA VIDEO YAKE MPYA YA "KICHUNGU"...

Baada ya kimya cha muda best vocalist kutoka Kenya CHIKUZEE awadondoshea video yake mpya inayokwenda kwajina KICHUNGU.
Baada ya kuachia SOMA msanii huyu aliweza kufunga safaru yake hadi Bongo Landa na kutimba katika studio za MAZUU RECORDS na kugonga audio chini ya usimamizi wa MANAGER wa Musa Babaz.

Chikuzee aliweza kurudi Kenya nakupiga video na kampuni ya ONE MONTAGE chini ya director HAMZA OMAR.

Pata kuitazama video yake mpyaKICHUNGU

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..