Skip to main content

Posts

Showing posts from November 27, 2015

NEW VIDEO ALERT| KASSIM MGANGA FEAT CHRISTIAN BELLA WEMETUSOGEZEA KITU KWENYE VYIOO VYETU "SUBIRA" PATA KUITAZAMA HAPA..

Hii ngoma ni hit ambayo kwa sasahivi imekamata kila kona, kuanzia radio stations, majumbani, kwenye daladala, bajaji bodaboda na maeneo mengine yote !! Kama uliisubiri video ya ‘ Subira ‘ kwa hamu, basi subira yako imevuta heri mtu wangu !! Karibu uione kazi nyingine nzuri kutoka mikononi mwa director wa video  Adam Juma  wa  Visual Lab . Kassim Mganga  Feat.  Christian Bella  –  Subira .

NEW VIDEO ALERT| MSWAZZI MASAUTI-MAHABUBA| WATCH IT HERE

Hii ni video mpya kutoka kwa MSWAZZI MASAUT I ambayo ndio video yake ya kwanza kuachilwa baada ya kueka mkataba na TEDD JOSIAH. Video imeongozwa na TEDD JOSIAH pamoja na Audio yenyewe pata kuitizama hapa chini.