NEW VIDEO ALERT| KASSIM MGANGA FEAT CHRISTIAN BELLA WEMETUSOGEZEA KITU KWENYE VYIOO VYETU "SUBIRA" PATA KUITAZAMA HAPA..
Hii ngoma ni hit ambayo kwa sasahivi imekamata kila kona, kuanzia radio stations, majumbani, kwenye daladala, bajaji bodaboda na maeneo mengine yote !!
Kama uliisubiri video ya ‘Subira‘ kwa hamu, basi subira yako imevuta heri mtu wangu !! Karibu uione kazi nyingine nzuri kutoka mikononi mwa director wa video Adam Juma wa Visual Lab.
Kassim Mganga Feat. Christian Bella – Subira.
Comments
Post a Comment