Skip to main content

Posts

Showing posts from August 26, 2014

KWA MARA YA KWANZA TAZAMA PICHA ZA MTOTO WA ARNOLD MUNGA PAMOJA NA MKE WA PWANIFM AKIWA NA MKE WAKE....

Tizama picha za mtoto wa mtngzaji Arnold Munga akiwa na mke wake pamoja na mtoto wao wa kwanza. Ni miezi kadhaa tangu wafunge harusi ambapo kwasasa wamejaliwa na mtoto wakie nayejulikana kama BABY ASHLEY MNYAZI  Tizama picha wakiwa wamembeba mtoto wao Munga akiwa pamoja na Ruth Mukabi ambaye ni mke wake.

UMEONA PICHA ZA MTANGAZAJI WA PWANIFM AKIPELEKA MAHARI KWA KINA MKEWE?? TIZAMA HAPA

Hapo jumamosi mtzangzaji wa Pwanifm DAVID MTANA anayekuwa katika kipindi cha Uchambuzi wa Magazeti akiwa na Mkanyika Jilo aliweza kupeleka mahari ambapo kwasasa amekamilisha na pingu za maisha watafunga hivi karibuni hizi ni baadahi ya picha zake katika sherehe hio akiwa na mkewe anayetambulikaka kama SALLY KADZO.