"SIPENDWI NA RADIO ZETU PAMOJA NA DJ'S WETU KWASABABU NAPENDA MZIKI WA HAPA NCHINI KWANGU" RABBIT KAKA SUNGURA AFUNGUKA YA MOYONI...soma zaidi
Msanii kutoka hapa nchini aliyetoa wimbo wake mpya hivi majuzi uliojulikana kama NJOO aliyomshirikisha msanii kutoka nchini Tanzania Rich Mavoko mapema hii leo aliweza kufunguka ya moyoni. Kupitia ukurasa wake wa facebooka mapema leo hii aliweza kuvunja ukimya wake ambapo alisema kuwa anaelewa kuwa vyombo vya habari ikiwemo radio,Tv na Dj's hawampendi kwasababu yakusukuma sana mziki kutoka nchini humu,Msanii huyo aliweza kusema kuwa kazi yake yakupenda mziki wa nyumbani uchezwe sana umemueka pabaya hii ni baada ya yeye kutaka mziki wa nyumbani uchezwa asilimia kubwa kuliko wa kigeni, haya ndio aliyoyasema kupitia ukurasa wake " What I know for sure is that most presenters don't like me and most Djs and their program directors because I am always pushing for more Kenyan Content on their playlist. It's so sad when most of our tv, radio and Djs push outside content more. (kuna wale wanapush for more and I recommend them sio wote) I mean ata vile Davido akikuja...