Skip to main content

"SIPENDWI NA RADIO ZETU PAMOJA NA DJ'S WETU KWASABABU NAPENDA MZIKI WA HAPA NCHINI KWANGU" RABBIT KAKA SUNGURA AFUNGUKA YA MOYONI...soma zaidi



Msanii kutoka hapa nchini aliyetoa wimbo wake mpya hivi majuzi uliojulikana kama NJOO aliyomshirikisha msanii kutoka nchini Tanzania Rich Mavoko mapema hii leo aliweza kufunguka ya moyoni.

Kupitia ukurasa wake wa facebooka mapema leo hii aliweza kuvunja ukimya wake ambapo alisema kuwa anaelewa kuwa vyombo vya habari ikiwemo radio,Tv na Dj's hawampendi kwasababu yakusukuma sana mziki kutoka nchini humu,Msanii huyo aliweza kusema kuwa kazi yake yakupenda mziki wa nyumbani uchezwe sana umemueka pabaya hii ni baada ya yeye kutaka mziki wa nyumbani uchezwa asilimia kubwa kuliko wa kigeni, haya ndio aliyoyasema kupitia ukurasa wake "What I know for sure is that most presenters don't like me and most Djs and their program directors because I am always pushing for more Kenyan Content on their playlist.
It's so sad when most of our tv, radio and Djs push outside content more. (kuna wale wanapush for more and I recommend them sio wote) I mean ata vile Davido akikuja si Ati anakujua ama atakupea VIP pass, ni event organizer ndio atakupea. I mean Sahizi our Kenyan musicians wanajitahidi, it's only right watunzwe. imagine nimeskia radio for 1hr na only 4 Kenyan songs zimecheza yet wako mbaka na udaku za Naija and S.A, yaani hadi kuna countdown ya outside charts, so sad.
Mostly their argument is our content is lesser in quality so they opt kuplay more outside content. Not forgetting that this whole quality talk is interconnected, it's simple, I will afford a 1 Million ksh video if I am getting millions, and I will only afford a 100ksh video if I am getting that. 'you only give what you get'. The connection is whenever the presenter or writer says hakuna quality in Kenyan songs then the fans believe our music is of a lesser quality, hence less shows, less pay, less crowd, less quality, less faith.
We have Kenyan songs backdated from since I was a kid till now zile zinaweza entertain Kenyans ata we don't need that foreign invasion sh#t.
Our Neighbors Tz have regulated that outside content na Ata hiyo Naija we always push here they have a 95% Naija content rule (straight from Chidinma) na sisi tumejikaza ati tunawaskuma, am sure they are laughing hard mahali wako.
Nawapea hongera wale wanaplay na kupush Kenyan Music ata kama wewe Ni fan.
After this najua ntazimwa in most stations ama most Djs but Sijali as long as more Kenyan is playing Sawa!" Alisema hayo kupitia ukurasa wake.


Hii ndio video yake mpya..

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..