Skip to main content

Posts

Showing posts from September 29, 2017

EXCLUSIVE STORY|||KALICHA AAMUA KUJA KI-ASLAY KATIKA NYANJA YA MZIKI WA PWANI....

Kalicha mmoja wa wasanii waliojaa sauti (Vocals) aamua kuja kivyengine mbali na mwanzo wake kuanza kuimba. Kutoka kaunti ya Mombasa msanii KALICHA MUSIC  ameamua kuja na njia nyengine tofauti na ya bei ghali kwa kuachiaa video zake kwa mkupuo yaani kwa wingi ambao hakuna msanii yoyote ambae ameweza kufanya anavyofanya msanii huyo. Kwasasa Youtube Channel yake ameweza kueka video mpya tatu ndani ya mwezi mmoja ambapo video izo zinafanya vizuri kwa kutizamwa,tukiongea nae mapema wiki hii aliweza kutudokezea kwamba yeye ameamua kufanya kazi tu zionekane  kwasababa amekua akiimba sana kipindi cha nyuma bila kuonekana katika kioo na aliweza kuongezea kwamba yeye hana management yoyote kazi hizo ni uwezo wake yeye mwenyewe akishirikiana na director wake anayetambulika kama WIZZOH CLASSIC. Video na nyimbo izo ni kama Pole pol e, Moyo Wangu na mpya ambayo ameachia wiki mbili zilizopita inajulikana kama WAY TO YOUR HEART na amesema kuna video zengine ambazo zinatarajiwa kuachiliwa