Skip to main content

EXCLUSIVE STORY|||KALICHA AAMUA KUJA KI-ASLAY KATIKA NYANJA YA MZIKI WA PWANI....

Kalicha mmoja wa wasanii waliojaa sauti (Vocals) aamua kuja kivyengine mbali na mwanzo wake kuanza kuimba.
Kutoka kaunti ya Mombasa msanii KALICHA MUSIC ameamua kuja na njia nyengine tofauti na ya bei ghali kwa kuachiaa video zake kwa mkupuo yaani kwa wingi ambao hakuna msanii yoyote ambae ameweza kufanya anavyofanya msanii huyo.

Kwasasa Youtube Channel yake ameweza kueka video mpya tatu ndani ya mwezi mmoja ambapo video izo zinafanya vizuri kwa kutizamwa,tukiongea nae mapema wiki hii aliweza kutudokezea kwamba yeye ameamua kufanya kazi tu zionekane  kwasababa amekua akiimba sana kipindi cha nyuma bila kuonekana katika kioo na aliweza kuongezea kwamba yeye hana management yoyote kazi hizo ni uwezo wake yeye mwenyewe akishirikiana na director wake anayetambulika kama WIZZOH CLASSIC.

Video na nyimbo izo ni kama Pole pole,Moyo Wangu na mpya ambayo ameachia wiki mbili zilizopita inajulikana kama WAY TO YOUR HEART na amesema kuna video zengine ambazo zinatarajiwa kuachiliwa wiki ijayo,tulipomuuliza kama huo muondoko ameweza kuunyakua kw msanii wa bongo ASLAY aliwezaa kukanusha madai hayo na kudai yeye apendi kuiga mtu yeyote msanii ni mtu m'bunifu ivo basi hio ni njia yake ambayo ameibuni kuingia katika mziki vizuri.

Pata kuzitazama video zoke kwa kubonyeza hizi link hapa chini

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE HII HAPA : MASAUTI KATABIRIWA KUWA "THE NEXT BIG THING" NDANI YA MWAKA 2019 JE UNAJUA NI NANI ALIYEMTABIRIA?..Soma hapa

Katika miaka yote mwaka wa 2018 unaonekana ndio mwaka ambao mkali wa masauti Shembwana Masauti ameweza kufanya kazi nyingi nzuri na za ghali sana. Mkali wa 'vocals' Masauti mwaka jana aliweza kudondosha ngoma kali takriban kama nne kwa mfululizo amabazo ziliweza sana na kwasasa kibao kinachotatiza anga kinaitwa KIBOKO ambacho kibao icho kinaendelea kufanya vizuri ndani Afrika Mashariki. Hapo jana Presenter mkubwa kutoka MileleFmJalang'o almaarufu kama Mzee Jalas Mwenyewe aliweza  kusema msanii huyu huu mwaka ndiye atakaye sumbua kulingana na usimamizi wake mzuri pamoja na kazi zake zinazoweza kupita kiwango. Hii Hapa ndio kazi yake MAsauti mpya inayokwenda kwajina KIBOKO

EXCLUSIVE: DOWNLOAD WIMBO MPYA WA TANZANITE ALIYO MUIMBIA LULU WA BONGO MOVIE

Pata kudownload na kuskiza hapa chini....

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.