Skip to main content

Posts

Showing posts from August 10, 2016

EXCLUSIVE NEW VIDEO ALERT| HII HAPA VIDEO MULIOKUA MUNAINGOJEA YA "OTILE BROWN" PAKATE...Ipate hapa

Baada ya kuhit na BASI pamoja na ALIVYONIPENDA msanii mkali wa melodi kali zakubembeleza OTILE BROWN amerudi tena katika kioo chako. Round hii amewaletea nyengine inayokwenda kwajina PAKATE yaani pale kati Pakate ni moja amazizing sana ambapo video imeketiwa chini na DOCTA EDDIE ambaye pia ndio manager wake katika mziki wake. OTILE ni mmoja kati ya wasanii wanaokuja kwa kasi na mmoja katika ya wale wanaoteka mashabiki kwa maneno matamu na sweet melody katika utunzi wa nyimbo zao. Pata kuitazama video yake hio ya  PAKATE DOWNLOAD HAPA