Skip to main content

EXCLUSIVE NEW VIDEO ALERT| HII HAPA VIDEO MULIOKUA MUNAINGOJEA YA "OTILE BROWN" PAKATE...Ipate hapa

Baada ya kuhit na BASI pamoja na ALIVYONIPENDA msanii mkali wa melodi kali zakubembeleza OTILE BROWN amerudi tena katika kioo chako.

Round hii amewaletea nyengine inayokwenda kwajina PAKATE yaani pale kati Pakate ni moja amazizing sana ambapo video imeketiwa chini na DOCTA EDDIE ambaye pia ndio manager wake katika mziki wake.

OTILE ni mmoja kati ya wasanii wanaokuja kwa kasi na mmoja katika ya wale wanaoteka mashabiki kwa maneno matamu na sweet melody katika utunzi wa nyimbo zao.

Pata kuitazama video yake hio ya PAKATE DOWNLOAD HAPA

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..