THE AWARD WINNING ARTIST AFUNGUKA KUWA HAFANYI MUZIKI USHINDANI AMA KUSHINDANA NA WASANII WENZAKE ILA KUFAIDISHA MAFANS NA KUSAIDIA JAMII Soma hapa zaidi
Ni msanii aliyeshinda tuzo ya “ THE BEST UPCOMING ARTIST OF THE YEAR ”, mwaka jana katika tuzo za KENYA COAST MUSIC AWARD S zinazoongozwa na BEYONCE. Akiongea na THE GREATMULLEYMEDIA mapema wiki hii aliweza kutudokezea kwamba yeye ni mmoja ya wasanii wakongwe na wanaofanya mziki mzuri ivo basi yeye anafanya mziki kuelimisha jamii pamoja na kuisadia jamii na sio kwenye maswala ya ushindani ama ubishow. Hit maker huyo wa PESA anayekwenda kwajina la JAFARYZOH A.k.a RYZLEEN alisema pia hivi karibuni ndani ya mwezi huu wanne atakua anafungua mradi wake ambao itakua anazuru katika nyumba za mayatima yaani orphanage kusaidia wasio jiweza pamoja na wale ambao wazazi wao wameweza kutokomea kwa janga la ukimwi ivyo basi yeye anafanya kwaajili ya jamii ila sio sifa za kuchezwa katika vituo uku jamii inaangamia alisema uwezo alionao atautumia kusaidia wasicho nacho. Mwezi huu wanne pia ndio atakua anashoot vieo ya wimbo ambao meuachia unaokwenda kwajina ...