Skip to main content

Posts

Showing posts from August 23, 2014

EXCLUSIVE: TIZAMA PICHA ZA BEHIND THE SCENE YA WIMBO "I DO" WAKE MISS GG NA BENSO....Tizama hapa.

Ikiwa ni wiki moja tangu msanii wakike Miss GG akiwa amemshirikisha BENSO wimbo unaotambulika kama I DO,Wasanii hao wameamua kuivalia njuka nyimbo hio na sasa wako kwenye matayarishi ya video ya nyimbo hio "I DO" Tazama picha za nyuma ya pazia ya video hio hapa chini.