Kalicha ni msanii kutoka Mombasa/Kenya anayefanyia mziki wake ndani ya studio za SQ-RECORDS na huu ni wimbo wake mpya unaojulikana kama MAPENZI BIASHARA kutoka studio hizo ambapo produza ni Amz Jadidi.. pata kuskiza na kudownload wimbo huo hapa....