Skip to main content

Posts

Showing posts from October 2, 2014

"MIMI BADO SIJAFA NIKO HAI HUO WOTE NI UONGO" DJ BUNDUKI AKIRI KUWA HAJAFA....soma hapa uone alichokisema.

Hapo jana katka mitandao mbali mbali umu nchini kulienea taarifa za kuwa DJ BUNDUKI amefariki dunia,hii ni baada ya jamaa mmoja kuandika katika ukurasa wa facebook kuwa Dj huyo amefariki. Dj Bunduki leo ameweka wazi kuwa yeye bado angali hai wanao eneza maneno hayo yakuwa amefariki ni wabaya wake wasio penda akifanya kazi yake na hivi ndivyo alivyoandika hii leo kupitia ukurasa wake wa Facebook " Morning watu wangu, kuna mtu by the name VDJ MAHAZ amepost hapa kwa fb eti nimekufa, plz plz plz thats very bad thing mtu anapost yote ni uongo mtupu, Dj Bunduki is alive and kicking bila wasi so mafans wangu jueni niko salama sana, Hiyo ni  vurumai tu na sielewi kwanini amefanya hivyo" Hayo aliyasema Bunduki kupitia ukurasa wake wa Facebook.