Skip to main content

"MIMI BADO SIJAFA NIKO HAI HUO WOTE NI UONGO" DJ BUNDUKI AKIRI KUWA HAJAFA....soma hapa uone alichokisema.



Hapo jana katka mitandao mbali mbali umu nchini kulienea taarifa za kuwa DJ BUNDUKI amefariki dunia,hii ni baada ya jamaa mmoja kuandika katika ukurasa wa facebook kuwa Dj huyo amefariki.

Dj Bunduki leo ameweka wazi kuwa yeye bado angali hai wanao eneza maneno hayo yakuwa amefariki ni wabaya wake wasio penda akifanya kazi yake na hivi ndivyo alivyoandika hii leo kupitia ukurasa wake wa Facebook "Morning watu wangu, kuna mtu by the name VDJ MAHAZ amepost hapa kwa fb eti nimekufa, plz plz plz thats very bad thing mtu anapost yote ni uongo mtupu, Dj Bunduki is alive and kicking bila wasi so mafans wangu jueni niko salama sana, Hiyo ni vurumai tu na sielewi kwanini amefanya hivyo" Hayo aliyasema Bunduki kupitia ukurasa wake wa Facebook.

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..