Skip to main content

Posts

Showing posts from November 20, 2015

#TGM_EXCLUSIVE_STORY: WYNAS: "NAWEZA FANYA KAZI NA PRODUZA YOYOTE MBALI NA TEEE", WYNAS AFUNGUKA KUHUSIANA NA YEYE KUWA CHINI YA TEE HITS

WYNAS ni moja ya wasanii wenye sauti yenye mvuto ambaye yuko chini ya studio za TEE HITS. Wynas aliweza kufunguka mapema hii leo kupitia TSA254 inayoendeshwa na MAFIMBO MFALME ndani ya PWANIFM . Msanii huyu ambaye yuko chini ya produza TEE TONY aliweza kusema kwamba mbali na kuwa yuko Tee yeye ana uhuru wakufanya kazi katika studio yoyote hapa Kenya mbali na TEE "Ata kama niko chini ya studio za TEE HITS nina uhuru na haki yakuifanya kazi yangu katika studio zozote hapa nchini maana sijasaini mkataba na studio hizo lakini TEE HITS ni kama nyumbani kwangu sina mawazo ya kuitoka" Alisema Wynas Wynas aliweza kusema pia kwa sasa yuko na collabo na msanii mkubwa kutoka Mombasa na ni katika studio ambayo inatambulika ambayo aliyoweza kuweka studio hio na msanii katika mabano ambazo aliweza kusema muda mwafaka ukifika atwaweza kueka wazi. Kando na hayo Wynas aliweza kuachia Track yake mpya ambayo inafahamika kama KIDOGO TU. Pata kuidownload na kuiskiza hapa nyimbo