Skip to main content

#TGM_EXCLUSIVE_STORY: WYNAS: "NAWEZA FANYA KAZI NA PRODUZA YOYOTE MBALI NA TEEE", WYNAS AFUNGUKA KUHUSIANA NA YEYE KUWA CHINI YA TEE HITS

WYNAS ni moja ya wasanii wenye sauti yenye mvuto ambaye yuko chini ya studio za TEE HITS.

Wynas aliweza kufunguka mapema hii leo kupitia TSA254 inayoendeshwa na MAFIMBO MFALME ndani ya PWANIFM.

Msanii huyu ambaye yuko chini ya produza TEE TONY aliweza kusema kwamba mbali na kuwa yuko Tee yeye ana uhuru wakufanya kazi katika studio yoyote hapa Kenya mbali na TEE "Ata kama niko chini ya studio za TEE HITS nina uhuru na haki yakuifanya kazi yangu katika studio zozote hapa nchini maana sijasaini mkataba na studio hizo lakini TEE HITS ni kama nyumbani kwangu sina mawazo ya kuitoka" Alisema Wynas

Wynas aliweza kusema pia kwa sasa yuko na collabo na msanii mkubwa kutoka Mombasa na ni katika studio ambayo inatambulika ambayo aliyoweza kuweka studio hio na msanii katika mabano ambazo aliweza kusema muda mwafaka ukifika atwaweza kueka wazi.

Kando na hayo Wynas aliweza kuachia Track yake mpya ambayo inafahamika kama KIDOGO TU.

Pata kuidownload na kuiskiza hapa nyimbo hio mpya...

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE HII HAPA : MASAUTI KATABIRIWA KUWA "THE NEXT BIG THING" NDANI YA MWAKA 2019 JE UNAJUA NI NANI ALIYEMTABIRIA?..Soma hapa

Katika miaka yote mwaka wa 2018 unaonekana ndio mwaka ambao mkali wa masauti Shembwana Masauti ameweza kufanya kazi nyingi nzuri na za ghali sana. Mkali wa 'vocals' Masauti mwaka jana aliweza kudondosha ngoma kali takriban kama nne kwa mfululizo amabazo ziliweza sana na kwasasa kibao kinachotatiza anga kinaitwa KIBOKO ambacho kibao icho kinaendelea kufanya vizuri ndani Afrika Mashariki. Hapo jana Presenter mkubwa kutoka MileleFmJalang'o almaarufu kama Mzee Jalas Mwenyewe aliweza  kusema msanii huyu huu mwaka ndiye atakaye sumbua kulingana na usimamizi wake mzuri pamoja na kazi zake zinazoweza kupita kiwango. Hii Hapa ndio kazi yake MAsauti mpya inayokwenda kwajina KIBOKO

EXCLUSIVE: DOWNLOAD WIMBO MPYA WA TANZANITE ALIYO MUIMBIA LULU WA BONGO MOVIE

Pata kudownload na kuskiza hapa chini....

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.