Skip to main content

Posts

Showing posts from June 23, 2015

MWANAMZIKI WAKIKE WAKENYA ANAYEAMINIKA KUWA NA HELA NDEFU ZAIDI AFUMANIWA AKILA BATA NA MASTAR WA NIGERIA "P'SQUARE NCHINI SOUTH AFRICA...

Msanii kutoka hapa nchini Kenya anajulikana kama AKOTHEE wiki jana aliweza kuelekea maeneo ya SOUTH AFRICA kushoot video yake mpya ambapo tuliweza kumuhoji na kutuelezea kuwa video yake hio anakwenda kuifanya na director anayeaminika sana katika maeneo hayo anayejulikana kama GODFATHER. Nyimbo hio yake aliweza kuiachia hivi karibuni ameweza kuitengeneza katioka studio za KAY-G RECORDS chini ya PRODUZA TOTTI inajulikana kama SHENGERERA ( MAMA ). Katika mitandao ya msanii huyo tuliweza kukumbana na picha za bosslady huyo AKOTHEE akiwa anakula bata na wasanii wakubwa kutoka nchioni Nigeria ambapo ni P'square pamoja na Mr.Flava. Hizi ndizo baadhi ya picha zinazo tembea mitandaoni za mastar hao..

EXCLUSIVE VIDEO: CASH ERA-ZUNGULUKA| Watch it here...

Baada ya kimya cha muda msanii CASH ERA amerudi tena katika kioo chako kwa kukuletea video yake mpya inayojulikana kama ZUNGULUKA. Video hio imeweza kuketiwa chini na director anayekuja kwa kasi anayejulikana kama RICKY BEKKO na audio imetoka katika studio za NUMBER ONE RECORDS chini ya produza TK2. Pata kuitizama video hio hapa....